Wema Sepetu na Mali Za zaidi ya 400Million:In Pics
Posted in Wema SepetuEXCLUSIVE PICTURES: Wema Sepetu akiwa kwenye nyumba yake mpya.
Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV
Wema, Snura & Zamaradi
Abou & Zamaradi
Mtoto mie nikiona kaunta tu Basssssssssiiiiiiii
Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote ya nyuma ya Wema.
Gari yake ya kwanza ilikuwa hii
Gari ya pili na ndio hii na ndio anayoipenda
Hapa
ndipo anapoishi Miss Wema Sepetu maeneo ya Kijitonyama....wakati
tukiendelea na kupiga picha mtangazaji kutoka Clouds TV Zamaradi alikuja
kufanya interview ya Take 1 kwa hiyo kaa tayari itakujia siku si nyingi ndani ya Clouds TV
0 Maoni/comments: