Next
Previous
Showing posts with label Zitto Kabwe. Show all posts

Thursday, January 16, 2014

0

ZITO KABWE AANZA KUMPIGIA DEBE LOWASSA , CHEKI ALICHOKIPOST TWITTER

Posted in

Sunday, July 7, 2013

0

TAMASHA LA MATUMAINI: RAY KIGOSI APATA USHINDI WA MEZANI BAADA ZITTO KABWE KUTOKUEPO

Posted in , ,
Mwigizaji Ray na mbunge Zitto Kabwe pambano halijafanyika, Mh Zitto alipata dharura. ‎

Friday, May 31, 2013

0

BARUA YA ZITTO KABWE KWENDA KWA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON

Posted in ,
Shadow Minister for Finance Zitto Kabwe (Kigoma North – Chadema) has written to British Prime Minister David Cameron asking for a review of his country’s laws and those of other rich nations which make it impossible for African countries to fully investigate people who have stashed huge amounts of money in offshore accounts.



Mr Kabwe, who was among the first legislators to alert the government that there are numerous Tanzanians who have stashed dubiously acquired billions in foreign banks, has written Mr Cameron at the height of investigations by a special government appointed committee.

And in a related development, information reaching The Citizen indicates that the committee, formed after requests by Mr Kabwe to form a parliamentary one to probe the offshore accounts was turned down, has established that the amount of money held by Tanzanians in foreign accounts is actually more than what was reported earlier.

Sources privy to the information gathered by the committee have told The Citizen that there is about $5.9 billion held by Tanzanians in foreign bank accounts, most of which was illegally obtained.

Monday, May 20, 2013

0

HIVI NDIVYO DIVA LOVENESS ALIVYOMKEJELI ZITTO KABWE INSTAGRAM

Posted in ,



 Baada  ya  kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe, Loveness  Diva  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake  wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka instagram:

 ".Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili....??

Wednesday, May 8, 2013

0

ZITTO NAYE ALIONGELEA SUALA LA LADY JAY DEE NA CLOUDS MEDIA

Posted in , ,
Mgogoro kati ya Lady JayDee a.k.a Anaconda na uongozi wa Clouds Media Group bado ni issue, mengi yameshazungumzwa lakini kuna tweet moja ambayo mh. Zitto Kabwe ameona inafaa zaidi kuleta mabadiliko katika mzozo huo.

Zitto aliirudia Tweet ya Absalom Kibanda ya May 5 iliyosemeka.
 “An Iron Lady! Turn back and forgive. There’s power behind forgiveness”
Lady JayDee nae akamjibu:
@absakibanda Nakuelewa sana brother
Tweet ya Absalom ilimvutia zaidi Zitto Kabwe ambae aliandika:
“This tweet will surely bring peace. Watch “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”
Na akasisitiza zaidi na kusema hili ni neno la Busara:
“+1 in these words of deep wisdom “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”

Friday, April 26, 2013

0

BAADA YA ZITTO, NASSARI NAYE AANDIKA UJUMBE KUHUSU KUKAMATWA KWA LEMA USIKU WA JANA

Posted in , ,
Nimepata kwa mshtuko na nikakataa kuamini kama ni kweli kuwa polisi wa Arusha wamevamia na kuizingira nyumba ya mbunge mwenzangu wa Arusha, Lema.

Nimelazimika kumpigia simu RPC kuthibitisha na cha ajabu akaniambia ni kweli.

Nimemshauri kama kiongozi mwenzake mwenye dhamana ya kusaidia kuilinda
kweli na haki ili kuleta Amani ya kweli kwenye mkoa wangu wa Arusha. Sidhani kama ni busara kutaka kuvamia nyumbani kwa Raia mwema achilia mbali Kiongozi mkubwa kama mbunge. "Kama watawala wanafanya hivi kwa mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu" itakuwaje kwa mwananchi wa kawaida anayeishi usa river au unga ltd? Ukifuatilia na kuangalia video ya tukio la uhasibu chuoni arusha, utagundua makosa ya mtawala mkuu wa mkoa, ambaye kimsingi ni mkiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuwa sehemu ya sababu ya uvunjifu wa amani, kutokujua hata kusoma saikolojia ya watu.
0

KAULI YA KWANZA YA ZITTO KABWE KWA FAMILIA YA GODBLESS LEMA BAADA YA KUKAMATWA USIKU WA MANANE

Posted in ,


 Hii inatupa wasiwasi na kubaini kua kuna mchezo nyuma ya pazia unaochezwa na kundi la watu wa chache katika siasa upande wa pili wa upinzani kibaya zaidi ni ma'askari waliovamilia nyumbani kwa mbunge usiku wa jana na kulipua mabomu na wakiwa na silaha kali utadhani wamekwenda kumkamata jambazi au mtu mwenye kesi ya mauaji kitu ambacho sio kizuri. 
#Pole kwa familia ya Godbless Lema.
-Hii  ni  kauli  ya  Zitto  kabwe  Baada  ya mbunge  wa  Arusha  kutiwa  mbaroni  jana  usiku.. 

Thursday, April 11, 2013

0

ZITTO NA DIAMOND WAIPONDA SERIKALI WAZI

Posted in ,
Zitto Kabwe na Diamond wameamua kuzungumza kila wanachoona sio sawa na kinachofanywa na serikali yetu huku wote wakionyesha uchungu walionao kutetea maslahi ya jamii inayowazunguka, kupitia ukurasa wake wa facebook, hiki ndicho alichokiandika Mbunge Zitto Kabwe. 
 
Zitto Kabwe
Serikali inasema kampuni za simu zinalipa kodi nyingi. Kodi gani? VAT! Nani kasema VAT inalipwa na kampuni? Hii Ni kodi ya walaji kama ilivyo ushuru wa bidhaa (excise duty). Serikali inasema kampuni za simu hazilipi kodi ya mapato Kwa kuwa zimewekeza sana, tshs 2.5 trilion! Nani kakagua huo uwekezaji? Eti Kwa miaka 5 kodi ya makampuni iliyolipwa Ni tshs 64bn, wastani wa tshs 12bn Kwa mwaka. Rwanda yenye idadi ya watu sawa na wateja wa Vodacom peke yake mwaka 2010 walikusanya corporate tax $14m, Tanzania ilikusanya $1.4m tu. Serikali iache blah blah, ikusanye kodi. TCRA ipewe Nguvu ya kukagua uwekezaji wa makampuni kama ilivyo TMAA kwenye madini. Inatosha sasa

 
Wakati huohuo Diamond nae alionyesha machungu aliyonayo kwa serikali kwa kushindwa kutambua mchango wao na kudai wanatumiwa wakati wa kampeni za viongozi lakini baada ya kufanikiwa na walichukuwa wakikitaka wanawasahau wasanii..
hiki ndicho alichokiandika kupitia instagram
http://4.bp.blogspot.com/-po7b0OJqkiM/UF4BjPU5agI/AAAAAAAAN70/frjJidNaUKk/s1600/DSC_0242.jpg"Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao...."

Wednesday, August 1, 2012

1

New Video: LEKA DUTIGITE-KIGOMA ALL STARS

Posted in , ,
New Video: LEKA DUTIGITE-KIGOMA ALL STARS
#Long awaited Video ya Nyota Toka Kigoma na Joint Song yao LEKA DUTIGITE sasa Imetoka... Iangalie Hapa

Sunday, July 15, 2012

0

''Kigoma AllStars-Leka Dutigite'' Nyimbo Yetu ya Wiki(Download Hapa)

Posted in , , ,
Wiki hii iliyomalizika kumekuwa na toleo Jipya ambalo limekimbiza sana katika radio mbalimbali nchini... Ni Nyimbo Ya Kigoma AllStars ambayo inaitwa LEKA DUTIGITE, ambayo imeshirikisha wasanii toka Kigoma kama Abdu kiba, Baba Levo, Banana Zorro, Chege, Diamond plantimuz, Linex, Makomando, Mwasiti, Ommy dimpoz, Queen Darling, Rachel, Chini ya mbunge  Zitto Zuberi Kabwe
Download Hapa LEKA DUTIGITE Free Download
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ