Next
Previous
Showing posts with label Lulu. Show all posts

Tuesday, September 3, 2013

0

UCHAMBUZI WA FASHION POLICE NURU THE LIGHT: WALIOPENDEZA NA WALIOCHUKIZA KATIKA UZINDUZI WA MOVIE YA LULU

Posted in ,

 QUEEN OF THE NIGHT ELIZABETH LULU MICHAEL LOOKED STUNNING,,

 BATULI NI MZURI HATAREEEEEEE AND SHE KEPT IT SIMPLE WITH LACE AND BLACK!!

 I LOVED KAJALAS HAIRDOOO AND SHE LOOKED BEAUTIFUL,,

Thursday, August 15, 2013

0

TAARIFA JUU ELIZABETH MICHAEL NA UZINDUZI WA MOVIE YAKE MPYA

Posted in

Tuesday, August 6, 2013

0

ONA PICHA ZA BEHIND THE SCENE ZA MOVIE ALIYOIGIZA MAMA KANUMBA, LINAH PAMOJA NA LULU

Posted in , , ,
Muigizaji maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza wanakuja na filamu inayoitwa Mapenzi ya Mungu. Katika filamu hiyo waigizaji wengine ni Linah Sanga ambaye ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva na Sudi Ali. Angalia baadhi ya picha za behind the scenes za filamu hiyo
Lulu na Linah
 

Sunday, July 28, 2013

0

ELIZABETH MICHAEL "LULU" NA MAMA KANUMBA WAENDELEA KUFURAHI PAMOJA (INAPENDEZA)

Posted in ,

Sunday, June 30, 2013

0

INTERVIEW ALIYOFANYA LULU NA ZAMARADI HII HAPA

Posted in , ,
 
Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka atoke jela.
Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo mengine mengi.
Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika.
“Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….”

Friday, May 3, 2013

0

LULU NAYE AYALALAMIKIA MAGAZETI YA UDAKU

Posted in , ,
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEjK1MDkUP65ibqe7c-aXfcFPt2bIkaw227EY1ftG8Ov6_dsyBl4UP6vPt4mxIpBY9P5SPky7a3Qgxh7wirdPcq0pciC1tRmyj3cnNMsbNWai4WWmp5gdTtdY-qEjSjEWizRUVmS_xfAs/s1600/L2.jpg
Katika kile kinachoonekana kukerwa na vitendo vya vyombo vingi vya habari hususani magazeti ya kadhaa ya udaku yanoyochapisha habari za uongo kuhusu wasanii wa bongo movies kwa ajili ya kuuza magazeti yao, hatimaye msanii Elizabeth Michael  “lulu”naye ameamua kuyaweka wazi ya moyoni mwake bila kuficha baada ya gazeti  moja pendwa (Jina tunalihifadhi) kuchapisha habari iliyopew kichwa kisemacho “Lulu, wema, Diamond afya mgogoro”ambayo imeonekana dhahiri kumkera mrembo huyu na kuamua kaundika haya yafuatayo kwenye ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii.
“..Imekuwa ni kawaida ya mtu kujisikia kusema chochote...muda mwingine mnaweza mkahisi hatuoni au mkahisi kukaa kwetu kimya ni wajinga!!mm kama mm napenda kuwajulisha kuwa LULU mliyekuwa mnamjua sio LULU wa ss...msitegemee kusikia nabisha au kupigizana kelele...fanyeni kazi yenu lakini sio kuchafuana na kuipotosha jamii....!!!nadhani kimya changu kina majibu mengi.. Lulu anakuwa msanii wa pili kwa kipindi cha wiki mbili kukasirika hadharani baada ya mwanadada batuli kulaani kitendo cha gazeti moja la udaku kuandika habari za uongo kuhusu yeye.

Tuesday, April 30, 2013

0

PICHA: LULU AKIWA NA MTOTO WA DR CHENI HAPA

Posted in ,

Thursday, March 14, 2013

0

MUONEKANO WA SASA WA ELIZABETH MICHAEL"lulu"

Posted in ,
Baada ya kuachwa huru kwa dhamana, msanii wa filamu Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ameonekana kuwa kimya sana ila hivi karibuni ameonekana kutupia picha mtandaoni akiwa kwenye muonekano wake mpya akiwa na rafiki yake wa karibu, picha hizo zilipigwa mahali anapoishi Lulu na nyingine ikiwa ni kwenye gari.
Cheki picha zenyewe hapa chini...

Monday, May 7, 2012

0

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA LULU

Posted in ,

Lulu (katikati) akiingia mahakamani na askari magereza wa k***.
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.
Kamera zikimfuata kwa shauku.

Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.
Hapa ni karibu na mlango wa kuingia katika chumba cha mahakama.

Tuesday, April 17, 2012

0

A Look On Kanumba's Death

Posted in , ,
READ CAREFULY
Since the day kanumba died I have been telling everyone who would listen, Lulu aint no killer but she was used unknowingly…..

So today I met a policeman wa kituo cha Oysterbay who gave me this info…ofcourse siwezi kumtaja…

So this is what he told me…

Usiku ule Kanumba alipofariki walienda kumshikia Lulu Coco beach akiwa ana have fun na washkaji wake like nothing happened.

So its evident Lulu had no idea kuwa Kanumba alifariki baada ya kudondoka, otherwise angeenda hata kujificha but instead alienda kula bata na washkaji zake Coco beach mpaka polisi waliokuwa wamevaa nguo za kiraia kuwakamata kundi zima na kuwalaza ndani. Wengine waliachiwa asubuhi yake….

So that misterieous phone call that Lulu was making that got Kanumba really pissed. According to the policeman* alikuwa ni Ray on the other hand. And Lulu kaandika kwenye statement kuwa Ray is her ex.

So why was Lulu was on phone with Ray at 1am akiwa nyumbani kwa kanumba only god knows. Lulu kaandika kwenye statement kuwa kanumba alimtolea mpaka panga ali aseme who was on the phone with her before she saw him just collapsing on the floor.

And the most troubling part is this, Lulu was on the phone with Ray kabla ya kanumba kudondoka. Kanumba kadondoka lulu left akaenda Coco beach ,obviously she didn’t know he was dead or was going to die.Ray* who was NOT on speaking terms with Kanumba was actually one of the very first people on the scene, nyumbani kwa kanumba even before the police were there to remove the body.......

By the way im not insinuating anything just telling y’all what the policeman told me today…..

by the way as the initial unconfirmed reports of kanumba's cause of dead have been saying, kanumba kafa kwa sababu ya ‘brain concussion’ na hapo hapo muhimbili one of the doctors who performed the autopy amesema kuwa alinotice kuwa ubongo wa Kanumba umevimba sana, na yeye moja kwa moja aka suspect sumu kusababisha ule uvimbe. As he stated alichukua kipande cha ubongo wa kanumba* + kidney for further analysis. So guys, brain concussion ya kanumba wasn’t necessarily from kujigonga au kugongwa kichwani.MPO HAPO???

Nikamuuliza huyo polisi je yeye anaona lulu ndo muuaji? Akasema kwa kweli hadhani kama Lulu alikusudia kuua ili alitumiwa na mtu au watu bila yeye kujua kuwa anaua….sasa sakata linakuja kwamba Lulu atawataja hao watu??

Alafu akasema baada ya Kanumba kuzikwa siku ile kumbe baada ya kuzika tu watu walienda oysterbay polisi na mawe wakiwa wanamtaka Lulu atolewe nje wamalizane nae. Akaendelea kwa kusema kuwa iwapo Lulu atashinda kesi hawezi tena kuishi nchi hii hata iweje. Sababu raia wenye hasira kali watamuua tu.

And according to his experience Lulu hatoki segerea in less than a year….
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ