Jun
2013
30
INTERVIEW ALIYOFANYA LULU NA ZAMARADI HII HAPA
Posted in Lulu, Take One Clouds TV, Zamaradi Mketema
Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview
yake ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu
toka atoke jela.
Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea
mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo
mengine mengi.
Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika.
“Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….”
0 Maoni/comments: