Sunday, August 11, 2013

0

UPUMBAVU WA WATU WACHACHE UMETUFANYA TUPOTEZE UAMINIFU NCHINI SOUTH AFRICA: ASEMA AY BAADA YA KUKAGULIWA MDA MREFU AKIWA NA FA

Posted in , ,
ay33Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show. Unaambiwa jamaa walipekuliwa kupita kiasi cha kawaida. Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.

Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.
fa
ay4
ay2
ay

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ