Next
Previous
Showing posts with label Flaviana Matata. Show all posts

Sunday, August 11, 2013

0

UPUMBAVU WA WATU WACHACHE UMETUFANYA TUPOTEZE UAMINIFU NCHINI SOUTH AFRICA: ASEMA AY BAADA YA KUKAGULIWA MDA MREFU AKIWA NA FA

Posted in , ,
ay33Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show. Unaambiwa jamaa walipekuliwa kupita kiasi cha kawaida. Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.

Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.
fa
ay4
ay2
ay

Friday, August 2, 2013

0

FLAVIANA MATATA NAYE AWEKWA KATIKA ORODHA ZA JARIDA LA FORBES

Posted in , , ,


Ikiwa imetangazwa siku chache zilizopita, Forbes Africa imetoa list ya ma-model wakali na wanaofanya vizuri, na model matata kutoka Tanzania "Flaviana Matata" ndani.

Ikiongozwa list na model mdogo mwenye miaka 21 kutoka Angola "Maria Borges" 2013 imemfanya kuwa hot model na mkali kwenye catwalk.
Forbes Africa Magazine ambalo limetoka August 1lina list ya ma-model wengine ambao wako karibu kukamata nafasi ya kwanza ya hotest model ambao ni Ajak Deng (Sudan), Grce Bol (Sudan), Candice Swanepoel (South Africa), Liya Kebede (Ethiopia), Katryn Kruger (South Africa) na mshiriki wa Miss Universe kutoka Tanzania (Flaviana Matata)
0

ONA JINSI FLAVIANA MATATA ALIVYOKUWA AKICHEZA STYLE YA "CHEZA BILA KUKUNJA GOTI"

Posted in , ,
Flaviana Matata ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Mwana FA na AY na video hii inamuonyesha akiwa na Model mwenzake kutoka Sudan Ajak wakicheza style ya "Bila kukunja goti" ikiwa ni style inayotarajiwa kuwepo katika video ya wimbo wa AY, FA na Jay Martin (Nigeria) "Bila kukunja goti".

Friday, May 10, 2013

0

PICHA: FLAVIANA MATATA AKITANGAZA MAVAZI YA TRUWORTHS

Posted in ,
'
Mwanamitindo FLAVIANA MATATA anazidi kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika mitindo duniani ... Hizi ni baadhi ya picha za hivi karibuni zikimuonesha FLAVY kwenye brand kubwa ya mavazi duniani ... TRUWORTHS ...


Kampuni hii ambayo pia ina maduka hapa Tanzania katika maeneo tofauti imefanya kazi na mwanamitindo huyu akionesha mavazi hayo duniani ... Congrats FLAVIANA MATATA ...

Friday, April 19, 2013

0

MTANDAO WA MAREKANI YATOA PICHA YA MREMBO FLAVIANA MATATA KUTOKA TZ AKIWA HAJAVAA NGUO SEHEMU YA JUU YA MWILI WAKE ONA HAPA.

Posted in

Thursday, February 7, 2013

0

FLAVIANA MATATA KUFANYA KAMPENI YA NGUO ZA DIESEL+EDUN

Posted in , ,

 



Mwanamitindo wa kimataifa kutoka nchini Tanzania, Flaviana Matata ameshiriki katika kampeni za matangazo makubwa ya makampuni ya nguo ya DIESEL na EDUN. Kampeni hiyo inayoitwa DIESEL + EDUN ilianzishwa mwaka jana mwezi wa kwanza ambapo muanzilishi wa kampuni ya DIESEL - Renzo Rosso - na waanzalishi wa kampuni ya EDUN - Ali Hewson na Bono walisafiri nchi za Uganda na Mali na kukutana na wakulima wa pamba barani Africa.
Waliingia makubaliano ya kutengeneza nguo maalum zitakazotokana na pamba ya wakulima hawa wa Afrika na hivyo kuwanufaisha moja kwa moja. Hivyo basi nguo hizi zinatangazwa kama kampeni ili kunufaisha bara la Afrika.
Nguo hizo zitaanza kupatikana mwanzoni mwa mwezi wa tatu katika maduka mbalimbali nchini Marekani na duniani. Pia nguo za DIESEL + EDUN zitauzwa kupitia mitandao mbalimbali.
Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye aliwahi kuwa Miss Universe Tanzania 2007 anabaki kuwa mwanamitindo pekee kutoka bara la Africa katika kushiriki katika kampeni za nguo hizo.

Friday, January 18, 2013

0

FLAVIANA MATATA ANYAKUA TUZO

Posted in , ,
Mwanamitindo maarufu Flaviana Matata amenyakua tena Tuzo kutoka nchini Nigeria akiwa kama Africa’s Most Outstanding Model 2012. Mwanamitindo huyo ambaye pia mwaka jana mwezi December aliweza kuzawadiwa tena Tuzo ya Diaspora 2012 akiwa kama Face Of Africa
   
         Tanzania inajivunia kuwa na mwanamitindo kama huyu na pia anastahili pongezi ya hali ya juu kwa sababu anazidi kuitangaza nchi yake katika mataifa mbalimbali na kuzidi kuendelea kufanya vizuri.
Hongera Flaviana Matata.

Sunday, October 28, 2012

0

PICHA ZA FLAVIANA MATATA AKIWA KATIKA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK JO'BURG'

Posted in
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ