Jun
2013
20
HUYU NDIYE MREMBO WA KIKENYA ATAKAYEFANYA KAZI NA CHIDI BEENZ
Posted in Chidi Beenz, Habida
Chidi Benz pamoja na Habida wamekuwa na mazungumzo kwa njia ya mtandao kuonyesha kuwa mambo kadhaa yakikaa sawa watakutana na kumaliza kile walichoadhimia kufanya, na hii ni kwa ajili ya wapenzi wa muziki ndani na nje ya Afrika Mashariki.
Kutokana na tip hii, mitaa yote ipo tayari inasubiria kuona kitakachofanyika wakati wakali hawa wawili watakapokutanisha ujuzi wao na kufanya kitu cha pamoja.
0 Maoni/comments: