Friday, June 28, 2013

0
Jun 2013 28

DIAMOND NA NAY WA MITEGO KUACHIA NGOMA NYINGINE

Posted in ,


Wakali wa ngoma “MUZIKI GANI” , yaani Nay Wa Mitego Na Diamond wako njiani kuachia ngoma nyingine wakiwa katika collabo … Inasadikika kuwa Platnumz na Wa Mitego wamesharekodi ngoma kadhaa ikiwemo SALAMU ZAO, UTAKULA JEURI YAKO na nyinginezo ila wanashauriana ni ipi ya kutoa …

MUZIKI GANI imefanya vizuri sana na wasanii hawa na hakutakuwa na tatizo kama wakiendeleza kazi zao kwa pamoja … Wasanii hawa wako kwenye ziara zao tofauti kimuziki lakini tuwategemee tena na ngoma nyingine kali …

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ