"NEY WA MITEGO" APATA MTOTO WA KIUME
Posted in Ney Wa Mitego
Mkali wa ngoma ya "Nasema Nao" Ney Wa Mitago, myself i like to call him
a "A TRUE BOY" amepata mtoto wa kiume. Ney Wa Mitego kupitia maandishi
yake, aliyasema maneno hayo huku akionekana mwenye furaha sana kujipatie
jembe hilo...Ney Wa Mitego ni msanii mkali wa bongo flava aliyetokea kujipatia umaarufu mkubwa kwa ngoma zake zinazoongea ukweli moja kwa moja, yaani non-fiction, amekaribisha kiumbe kingine duniani jana usiku... Karibu True Boy Junior. Hoongera sana bro. We wish you all the best kwako, mzazi mwenzio, mwanenu, na muziki wako kwa ujumla.




0 Maoni/comments: