LINEX Kufanya Ngoma na KEKO&AVRIL
Posted in Avril, Keko, LinexAvril kwa anatamba na ngoma ‘Kitu Kimoja’, ambapo pia aliwahi kutamba zaidi na ngoma yake ya ‘Chokoza’, huku kwa Keko ambaye bado anatamba na ‘Make You Dance’.
Akizungumzia ishu hiyo kubwa ambayo haijafanywa na msanii wa Tanzania kufanya ngoma na nyota hao wanaokuja juu, alidai kuwa anafikilia kuwa afanye nao kazi moja moja au ya pamoja lakini anaamini kazi hiyo ya pamoja itakuwa nzuri.
“Ishu kubwa ambayo ipo kwa sasa ni kufanya ngoma na wasanii hao kutoka Kenya na Uganda, na baada ya hapo bado ratiba nyingine zitaendelea kama kawa,” alisema.
Hata hivyo aliongeza kuwa kufanya kazi na wasanii hao kutampa nafasi ya juu kimuziki kwani anafanya an wasanii ambao wako nje hivyo ngoma yake itakapokuwa inapigwa zaidi kwenye nchi hizo mbili tayari atakuwa katika mazingira mazuri ya kujitangaza kimataifa.
Avril kwa anatamba na ngoma ‘Kitu Kimoja’, ambapo pia aliwahi kutamba zaidi na ngoma yake ya ‘Chokoza’, huku kwa Keko ambaye bado anatamba na ‘Make You Dance’.
Akizungumzia ishu hiyo kubwa ambayo haijafanywa na msanii wa Tanzania kufanya ngoma na nyota hao wanaokuja juu, alidai kuwa anafikilia kuwa afanye nao kazi moja moja au ya pamoja lakini anaamini kazi hiyo ya pamoja itakuwa nzuri.
“Ishu kubwa ambayo ipo kwa sasa ni kufanya ngoma na wasanii hao kutoka Kenya na Uganda, na baada ya hapo bado ratiba nyingine zitaendelea kama kawa,” alisema.
Hata hivyo aliongeza kuwa kufanya kazi na wasanii hao kutampa nafasi ya juu kimuziki kwani anafanya an wasanii ambao wako nje hivyo ngoma yake itakapokuwa inapigwa zaidi kwenye nchi hizo mbili tayari atakuwa katika mazingira mazuri ya kujitangaza kimataifa.
0 Maoni/comments: