AFCON 2013: Raundi ya Mwisho ya Mtoano Wikiendi hii!!
Posted in AFCON 2013
Mechi 15 za kwanza za Raundi ya Mwisho
ya Mtoano ambazo zitatoa Timu15 zitakazocheza Fainali za Kombe la
Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, pamoja na Wenyeji Afrika Kusini, Fainali
ambayo itafanyika Januari 2013, zitachezwa Wikiendi hii inayokuja na
Mabingwa Watetezi wa Afrika, Zambia, watakuwa nyumbani kucheza na Uganda
huku, bila shaka, Mechi yenye mvuto mkubwa itakuwa kati ya Ivory Coast
na Senegal.
Marudiano wa Mechi za Raundi ya Mwisho ya Mtoano yatakuwa kati ya Oktoba 12 hadi 14.
Droo ya kupanga Mechi za Fainali ya
AFCON 2013 itafanyika Oktoba 15 mara baada ya kupatikana Washindi 15 wa
Raundi ya Mwisho ya Mtoano.
RATIBA:
[Saa ni za Bongo]
16:00 Zambia v Uganda
17:00 Central African Republic v Burkina Faso
17:30 Congo, DR v Equatorial Guinea
17:30 Gabon v Togo
18:00 Ghana v Malawi
19:30 Sierra Leone v Tunisia
20:00 Sudan v Ethiopia
20:00 Ivory Coast v Senegal
20:00 Cape Verde v Cameroon
20:00 Mali v Botswana
21:00 Liberia v Nigeria
Jumapili Septemba 9
16:00 Zimbabwe vAngola
16:00 Mozambique v Morocco
20:00 Libya v Algeria
20:00 Guinea v Niger
FAHAMU: Marudiano ni kati ya Oktoba 12 na 14.
Source: SOKA IN BONGO
0 Maoni/comments: