USAIN BOLT: Na SOUL HeadPhones Zake
Posted in Beats By Dre, Dr. Dre, Ludacris, Manchester United, Soul Headphones, Usain BoltMjamaica Usain Bolt ambaye Inajulikana kuwa ndiye Mwanadamu mwenye spidi kuliko wote, ambaye hivi karibuni Alijipatia Medali Za Dhahabu huko Jijini London, Amekuwa Ni Mpenzi wa Soka, nakuonesha Mapenzi ya Dhati Kwa Timu Ya Manchester United, na Kutamani sana Kuja Kuichezea na Kuonesha Mapenzi Ya Dhati kwa Mchezaji C.Ronaldo. Licha Ya Hayo Yote Ameonesha Mapenzi ya Dhati Kwa Muziki na Kuingia Ubia Na Kamouni Ya SOUL ELECTRONICS, Na kutengeneza HeadPhones zenye Brand Yake.











