Friday, August 24, 2012

0

USAIN BOLT: Na SOUL HeadPhones Zake

Posted in , , , , ,

Mjamaica Usain Bolt ambaye Inajulikana kuwa ndiye Mwanadamu mwenye spidi kuliko wote, ambaye hivi karibuni Alijipatia Medali Za Dhahabu huko Jijini London, Amekuwa Ni Mpenzi wa Soka, nakuonesha Mapenzi ya Dhati Kwa Timu Ya Manchester United, na Kutamani sana Kuja Kuichezea na Kuonesha Mapenzi Ya Dhati kwa Mchezaji C.Ronaldo. Licha Ya Hayo Yote Ameonesha Mapenzi ya Dhati Kwa Muziki na Kuingia Ubia Na Kamouni Ya SOUL ELECTRONICS, Na kutengeneza HeadPhones zenye Brand Yake.

Usain Bolt

 The collaboration with SOUL came from Bolt’s passion for music.

“Nine out of 10 times, when you see him, he has his headphones on,” Gina Ford, Bolt’s marketing and brand manager, says.

An islander raised on rhythm, Bolt grooves to reggae, dancehall and R&B to relax and prepare.
“My coach doesn’t recommend music pre-meet,” he says, “But on my way in the car, I jam to something slow and groovy.” 
Kampuni Ya SOUL pia Imefanya Kazi na LUDA-Cris, Yote hayo Yamekuja Baada Ya Headphones Za Dre(Beats By Dre) kuvuma sana na kujipatia soko Kubwa.

What’s more, in his free time off the track, Bolt can be found behind turntables at DJ gigs. From now on, he’ll be with his SL300s.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ