Next
Previous
Showing posts with label Quick Rocka. Show all posts

Thursday, August 15, 2013

0

YOUNG KILLER FT STAMINA & QUICK ROCKER – JANA NA LEO (OFFICIAL HD VIDEO)

Posted in , ,

Wednesday, August 14, 2013

0

YOUNG KILLA, STAMINA & QUICK ROCKA - JANA NA LEO (BEHIND THE SCENE)

Posted in , ,

Sunday, June 23, 2013

0

Quick Rocka ft Ngwair & Shaa - My Baby ( Official Video ) | RIP NGWAIR

Posted in , ,

Saturday, June 15, 2013

0

NEW VIDEO: QUICK ROCKA FEAT SHAAH NA NGWEA(rip) - MY BABY

Posted in , ,

Wengi tulikuwa tumemzoea kama sio yeye kutuzoesha kumsikia akichana kwa haraka haraka kwa takribani ngoma zake zote zilizopita, lakini sasfari hii Quick Rocka ameamua kuja kitofauti kabisa. Wiki tatu zilizopita nilikutana na Quick na akanitonya kuwa ana ngoma mpya ambayo amechana kwa flow tofauti na tuliyomzoea nayo "My Baby". Na sasa ameachia teaser ya video ya wimbo huo, model akiwa ni Hamisa Mobet.

Sunday, June 2, 2013

0

VIDEO: QUICK ROCKA AMZUNGUMZIA MAREHEMU NGWAIR … CHECK BAADHI YA PICHA ZA BEHIND THE SCENE VIDEO YA “MY BABY” ALIYOKUWA AFANYE NA MAREHEMU …

Posted in ,
Quick ni mmoja wa wasanii waliokuwa karibu sana na marehemu Ngwea siku za karibuni, walirekodi pamoja ngoma ya IZZO BIZNESS inayojulikana kama BALL PLAYER na pia alikuwa mbioni kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “MY BABY”… ambapo in this one, Quick yuko kamili katika AUDIO na ndani ya ngoma hiyo alikuwa ameshirikishwa marehemu pamoja na Shaa …

Kwenye “MY BABY” … Ni kuwa video yake iko kwenye matengenezo ya mwisho na alikuwa akisubiriwa marehemu ALBERT ili aweze kurekodi vipande vyake ili video hiyo idondoke …

NGOMA hii imefanywa ndani ya Studio ya AM Records with Producer Maneck touches huku video ikiwa inasimamiwa na Dir. Nick Dizzo kutoka kampuni ya E Media ...

Hizi ni baadhi ya picha  zinazoonesha utengenezaji wa video hiyo, ambao ulikuwa umeshaanza …

IMG_9301

Friday, April 26, 2013

0

DOPE TRACK: YOUNG KILLER FT. STAMINA & QUICK ROCKA

Posted in , ,
0

MUONEKANO WA T-PAIN BAADA YA KUNYOA RASTA

Posted in ,


Mwanamuziki kutoka Marekani maarufu akijulikana kama T-Pain ameamua kuchukua uamuzi wa kukata rasta zake ambazo amekuwa nazo kwa kipindi kirefu sasa ...
T-Pain ambaye amekuwa kimya kidogo ambapo hapo nyuma alifanya vizuri katika soko la muziki la nchini humo na duniani ameamua kubadilisha muonekano wake huo na kuwa na nywele fupi ...
Tukio hilo limeonekana kuwashangaza watu wengi hasa wale waliokuwa wamemzoea na rasta zake ...
Katika muonekano huu mpya wa sasa, T-Pain ameonekana kufanana sana na msanii kutoka Tanzania, Quick Rocka.
NI KWELI ??

Cheki picha hapa chini uone ni jinsi gani wasanii hawa wanavyofanana ...



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ