UHUSIANO WA ''DIAMOND PLATNUMZ'' NA ''NAJ''-MENEJA WA NAJ AFUNGUKA
Posted in Diamond Platnumz, NAJHata hivyo kwa mujibu wa meneja wa Najma ambaye kwa muda mrefu alikuwa nchini Uingereza kimasomo, mastaa hao wako karibu kikazi zaidi tu na hakuna kingine kwa mujibu maelezo ya meneja wa najma.











