Ifanye Biashara Yako Iwe Inajulikana, Na Upate Wateja Wengi.
Kwa Vifaa Vyote Vya Michezo, Jijini Arusha, Wako Opposite Msikiti Mkubwa, Karibu na CCM Mkoa Wapo Pia Moshi na Babati, Tembelea Sasa
Pata Products Za Forever Living Kwa Afya Yako, Bila Kusahau Vipodozi. Piga 0755-029901.
Kwa Huduma Za KIMAPISHI, Katika Events Mbalimbali, Harusi, MISIBA, Barikio, Send Off nk.
Photo Editing, Graffiti Editions, Pia Kufanya Retouching. Kutengeneza Posters(MABANGO)
Next
Previous
Showing posts with label Madawa ya Kulevya. Show all posts
Thursday, December 26, 2013
Wednesday, August 21, 2013
ALICHOKISEMA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA
Posted in Agness Masogange, Diamond Platnumz, Madawa ya Kulevya, Ngwair
MSANII Wa Muziki wa Bongofleva mwenye jina kubwa Town na mwenye Mkwanja mkubwa hapa nchini Nasseeb Abdulmaliki “Diamond Platnumz” amejitokeza na kukanusha kuwa hahusiki na biashara ya madawa ya kulevya.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na taarifa za Diamond kujihusisha na biashara hiyo hasa kutokana na ukaribu wake na wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya wenye maskani yao nchini Afrika Kusini.
Taarifa zaidi zinasema ni wafanyabiashara hao waliohusika kwa karibu kuusafirisha mwili wa marehemu Albert Mangwair, aliyefia huko huko Afrika Kusini ambaye taarifa za kifo chake ziligubikwa na matumizi ya madawa ya kulevya.
Akikanusha taarifa hizo Diamond amesema :
“Ni kweli mimi nina pesa za kutosha kuniwezesha kuishi maisha ninayotaka lakini sijawahi kujihusisha na biashara hiyo....
"Kufanya kazi kwa bidii kunalipa na kazi yangu inaonekana na ndiyo inayoniwezesha kuwa na fedha ambazo leo watu wameanza kuzitilia shaka. Sielewi nia ya watu hawa ni nini?”
Taarifa za Diamond kuhusishwa na mtandao huu zimeanza kushika kasi kufuatia miongoni mwa watu wake wa karibu kuonekana wakiwa karibu sana na akina Agnes Gerald “Masogange” (25) na Melisa Edward (24) kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere wa Dar es Salaam kabla hawajapanda ndege kuelekea Afrika Kusini ambako walikamatwa.
TAARIFA JUU HABARI YA DIAMOND PLATNUMZ KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA
Posted in Agness Masogange, Diamond Platnumz, Madawa ya Kulevya
Kutoka Jamii Forums

Mwanamuziki Nasseeb Abdulmaliki, maarufu zaidi kwa jina la Diamond
*Utajiri, safari zake nje ya nchi vyatiliwa shaka
*Ahusishwa na mtandao hatari wa Masogange
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji wa dawa za kulevya, jina la mwanamuziki anayeaminika kuwa na ukwasi mkubwa kwa sasa hapa nchini, Nasseeb Abdulmaliki, maarufu zaidi kwa jina la Diamond, limeanza kutajwa kuwa ni miongoni mwa vigogo wa ‘unga.’
Tayari mjadala mkubwa wa chini chini umeibuka kwa watu mbalimbali wakiwemo mashabiki wake, na taarifa ambazo zimelifikia MTANZANIA Jumatano kutoka vyanzo mbalimbali zimedai kuwa, mwenendo wa maisha ya Diamond sasa unachunguzwa na baadhi ya maofisa wa vyombo vya dola vya ulinzi na usalama.
Kutajwa kwa jina la Diamond katika sakata hili, kunatiwa nguvu zaidi na mwenendo binafsi wa maisha wa msanii huyo maarufu wa muziki wa kizazi kipya, unaokwenda sambamba na ukwasi mkubwa alioupata katika kipindi kifupi.

Thursday, August 8, 2013
HII NDO SABABU ILIYONIFANYA NIJIHUSISHE NA MADAWA: RAY C ASIMULIA
Posted in Madawa ya Kulevya, Ray C
Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya.
Akiwa na muonekano mpya, mchangamfu, aliyenawili, mrembo na mwenye afya njema, Ray C alizungumza kwa undani kwenye The Interview ya Clouds TV kuanzia namna alivyoingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, jinsi yalivyomwathiri na namna alivyosaidiwa hadi leo amekuwa hivyo.
Ray C alisema aliingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kutokana na kushawishiwa na aliyekuwa mpenzi wake.
“I broke up with my ex , nikasema kwanza nimtoe huyu mtu aliyeniletea balaa hili. Hata mama yangu mwenyewe aliona mabadiliko. I loved him so much with all my heart, but then I had to let him, ilibidi aende cause yeye ndiye aliyeniletea balaa lote.
"So nikasema anyway Mungu naomba unisaidie nampenda huyu kijana lakini hayuko sawa, not for me. We separated, 2010 tukaachana,” alisema.
Aliongeza kuwa baada ya kubaki mwenyewe na kujigundua kuwa hayupo sawa alilazimika kujaribu kupigana mwenyewe kuikataa hali hiyo lakini haikuwa rahisi.
“Mbona mimi nilikuwa na bidii sana, mbona nilikuwa very hard working? What’s happening now? Mbona najisikia tu kukaa nyumbani? Mbona mimi nilikuwa nafanya show 10, 20 kwa mwezi lakini sasa hivi hata show moja inanitia uvivu vipi?
Akiwa na muonekano mpya, mchangamfu, aliyenawili, mrembo na mwenye afya njema, Ray C alizungumza kwa undani kwenye The Interview ya Clouds TV kuanzia namna alivyoingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, jinsi yalivyomwathiri na namna alivyosaidiwa hadi leo amekuwa hivyo.Ray C alisema aliingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kutokana na kushawishiwa na aliyekuwa mpenzi wake.
“I broke up with my ex , nikasema kwanza nimtoe huyu mtu aliyeniletea balaa hili. Hata mama yangu mwenyewe aliona mabadiliko. I loved him so much with all my heart, but then I had to let him, ilibidi aende cause yeye ndiye aliyeniletea balaa lote.
"So nikasema anyway Mungu naomba unisaidie nampenda huyu kijana lakini hayuko sawa, not for me. We separated, 2010 tukaachana,” alisema.
Aliongeza kuwa baada ya kubaki mwenyewe na kujigundua kuwa hayupo sawa alilazimika kujaribu kupigana mwenyewe kuikataa hali hiyo lakini haikuwa rahisi.
“Mbona mimi nilikuwa na bidii sana, mbona nilikuwa very hard working? What’s happening now? Mbona najisikia tu kukaa nyumbani? Mbona mimi nilikuwa nafanya show 10, 20 kwa mwezi lakini sasa hivi hata show moja inanitia uvivu vipi?
Thursday, August 1, 2013
HII NI BALAA: ONA JINSI KETE ZA MADAWA YA KULEVYA ZINVYOFICHWA MWILINI MWA BINADAMU
Posted in Madawa ya KulevyaHii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya (maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu
kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.
Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.
Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.
Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.
Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Msimamo Ligi Kuu TZ
Popular Posts
-
DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''
-
Papaa Mafido - My Story (Official Video)
-
Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y
-
WASANII 10 BORA CHIPUKIZI ULAYA
-
VIDEO 18+ : SHOWER SCENES FROM THE BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE"
-
NEW TRACK: BOB JUNIOR-KICHUNA (FREE DOWNLOAD)
-
Above 18 only! PICHA YA UCHI Aliyopiga NICKI MINAJ
-
'True Blood' Season 5: Tina Majorino's Cast as Another Vampire, Tara's Back
-
Cassim Mganga Ft Akili The Brean - Majeraha ( Official Video )
-
Justin Bieber Reveals North American Tour Dates to Promote 'Believe'
FOLLOW US
NEW BONGO MUSIC
A.B '93 MOBILE APP
Powered by Conduit Mobile
EXTRA BONGO MUSIC
My Top Blogs
LETS CHAT
HABARI ZA BURUDANI ULAYA
Soccer Latest Scores
FOLLOW US NB
KIBONGO ZAIDI
Blog Archive
Arnold Balati 2012. Powered by Blogger.