MTANZANIA BINGWA WA KURUKA KAMBA DUNIANI APOKELEWA VYEMA NA RAISI KIKWETE
Posted in Dogodogo Center, Hamisi Mohamed, Kuruka Kamba, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, Sports
Rais Kikwete akiwa na bingwa wa dunia Hamisi Mohamed pamoja na wachezaji wenzie na viongozi wa timu ya Tanzania iliyoshiriki katika mashindano ya dunia.











