Next
Previous
Showing posts with label Dcee. Show all posts

Friday, December 20, 2013

0

NYIMBO MPYA (AUDIO n VIDEO) | NORTH DWELLERS & DCEE - ORIGINAL

Posted in , ,

Tazama hapa video mpya ya North Dwellers wakimshirikisha Dee Cee katika ngoma iitwayo Original, Au unaweza kudownload na kusikiliza ngoma hiyo mpya hapa chini

Thursday, November 28, 2013

0

NORTH DWELLERS FT. DCEE - ORIGINAL (NEWS ON VIDEO AND AUDIO)

Posted in ,
Original
Coming Soon, Audio & Video kutoka Kwa North Dwellers Ft. Dee Cee – Original …


Baada ya kusubiriwa kwa muda,vijana wa NorthDwellers sasa wapo katika final steps za kuachia ngoma yao ikiwa ni audio na video ya wimbo unaoitwa “Original” wakiwa wamemshirikisha Dee Cee.

John B ameamua kuungana na new talent Hadjihandro kuusuka huu mziki mzuri, na video yake ikasimamiwa na Inno wa Red Films, kila kitu kipo tayari tayari na sio muda mrefu utapata kuisikia na kuiona ngoma hiyo mpya ikiwa haewani. Kwa wale wapenzi wa good music kaeni tayari kwa ngoma hiyo.

Monday, January 28, 2013

0

NISHER BYBEE!!!!! JE UMEONA KAZI ZAKE?? HII NDOGO TU KUHUSU KAZI ZAKE

Posted in , , , , ,

Nisher ni Producer, Composer na Director, toka Arusha. Yaani kazi zake kama mbele, i guess you have to watch and learn from his works, classic, graphicalized and soo next year. The new era editing from this Arusha Boy anayemiliki NISHER ENTERTAINMENT
Mpaka sasa kashafanya kazi na Joh Makini(SIJUTII), Bonta(MAKTABA), Dcee(TODAY), Belle9(LISTEN), na sasa DjChoka(PRESS PLAY)....
CONTACTS:

Ona Kazi zake hapa:


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ