Thursday, November 28, 2013

0

NORTH DWELLERS FT. DCEE - ORIGINAL (NEWS ON VIDEO AND AUDIO)

Posted in ,
Original
Coming Soon, Audio & Video kutoka Kwa North Dwellers Ft. Dee Cee – Original …


Baada ya kusubiriwa kwa muda,vijana wa NorthDwellers sasa wapo katika final steps za kuachia ngoma yao ikiwa ni audio na video ya wimbo unaoitwa “Original” wakiwa wamemshirikisha Dee Cee.

John B ameamua kuungana na new talent Hadjihandro kuusuka huu mziki mzuri, na video yake ikasimamiwa na Inno wa Red Films, kila kitu kipo tayari tayari na sio muda mrefu utapata kuisikia na kuiona ngoma hiyo mpya ikiwa haewani. Kwa wale wapenzi wa good music kaeni tayari kwa ngoma hiyo.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ