AMBWENE YESAYA A.Y KUACHIA NGOMA MPYA MWISHO WA MWEZI
Posted in A.YKufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma kwenye kile ukipendacho kwa upande mmoja au mwingine ndiyo siri kubwa ya mafanikio…Tasnia ya Muziki wa Tanzania inaendelea kufanya vizuri, na hii inathibitishwa na wasanii wanaojituma na kupenda kila wafanyacho kuendelea kufanya vizuri. Mzee wa Commercial, Ambwene Yessaya mostly known as AY yupo jikoni ambapo anapika ngoma yake mpya itakayofahamika kama “Ahsante” ambapo anatarajia kuiachia mwisho wa mwezi huu.
Bila shaka mdundo huu utafanya vyema hasa pale kiu ya kuuskia toka kwa wapenzi na mashabiki wa AY inapoongezeka He always does his very best…Keep It Here On GongamMx.com for more updates !
0 Maoni/comments: