NIKKI MBISHI KAACHIA MIXTAPE MPYA AMBAYO KAWAENZI LANGA NA NGWAIR | TRACK LIST NA COVER
Posted in LANGA, Ngwair, Nikki MbishiNikki Mbishi ameachia final cover pamoja na mtiririko wa nyimbo zitakazokuwa kwenye malcom xi mixtape. Kwa Tsh 5000 tu utaweza kupata Malcom XI mixtape ndani kukiwa na wasinii kibao kama Farzhaad ‘Invincible’ Bandali, Jordan Kalyembe, KalApina Kikosi Cha Mizinga, Mycle Bertold, Malcolm Nikki Mbishi Jr., Harry Kaale, Niite Songa, Nikki Mbishi BabaMalcom, Minah Madoido and P The-mc Polymath.
Ndani ya mixtape hiyo kutakuwa na wimbo unaitwa Langa na Mangwea ambao Nikki Mbishi amewaenzi wasanii hao wakali walipoteza maisa mwaka huu
Mtiririko wa nyimbo (tracklist) ya malcom xi mixtape ni kama ifuatavyo
1: intro
2: a.k.a
3: Nay Wa Mitego
4: yote sawa
5: Babu Bomba
6: Wapambe
7: Msuli Tembo
8: Kusingekuwa na Muziki
9: Pesa Kwanza
10: Dakika Mbili
11: udaku
12: usisubiri
13: kabla sijafa
14: wasifu wake
15: manufaa ya kimakenika
16: mabwepande
17: Mama Luciya
18: chil out
19: Langa na Mangwea
20: Tom boy
21: Baba Malcon na Baba Yao
22: autro
0 Maoni/comments: