HUU NDO WIMBO WA DAYNA AMBAO DIAMOND AMEJIHALALISHIA
Posted in Dayna, Diamond PlatnumzInasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.
0 Maoni/comments: