"THE BUTLER" YA OPRAH WINFREY YAWEKA REKODI MAREKANI
Posted in Forest Whitaker, Oprah WinfreyLee Daniels’ The Butler 2013 imeshika nafasi ya kwanza kwenye Us Box office baada ya kuingiza kiasi cha dollar $25Million ndani ya wiki moja.
Oprah ameigiza kama mke wa Forest Whitaker ambaye anaonekana naye hapo kwenye picha. Unaweza ukacheck trailer ya movie hii hapa chini
0 Maoni/comments: