ANTENNAA: FUSE ODG KUTUA BONGO SEPTEMBER
Posted in B'Hits Events, B'Hitz Music Group, Fuse ODGMzee wa ngoma kali kama Azonto na Antenna Fuse-Odg anatarajia kutua bongo mwezi ujao. Chini ya Bhits na Times Fm wamedhamiria kumleta Fuse Odg katika tamasha kubwa la Bhits Events.
0 Maoni/comments: