Thursday, August 22, 2013

0

SHILOLE KUELEKEA HOLLYWOOD

Posted in ,


Nakomaa na jiji hit maker “Shilole”, zikiwa zimepita siku chache tu tangu adondoke toka kwa Obama alipokwenda kwa ziara ya kimuziki ya wiki mbili with one show in Washington DC amefunguka na kusema atarudi tena USA.
Najua wengi hawataamini wakidhani hayawezekani, ila wasubiri waone mwezi wa 10 naenda tena Marekani na nitafika hadi Hollywood na huko ni lazima nikutane na waigizaji wa Pale niongeze kitu kiuigizaji,” Shilole told the BK Cop.

For now, Shilole anamalizia ngoma moja ya mwisho kukamilisha ngoma saba kali zitakazounda albamu yake ya kwanza itakayoitwa “Lawama” na kuiachia rasmi mwezi wa 12 this year, huku kichupa cha “Nakomaa na jiji” kikiwa kimekamilishwa side A ya USA-shots na side B ya Tzee itaanza soon chini ya management yake(jina kaapun ) inayosimamia mchongo huo.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ