MSIMU MPYA WA WANAWAKE LIVE KUANZA WIKI IJAYO
Posted in Joyce Kiria, Wanawake Live
Baada ya kumaliza msimu wa zamani kwa hit za nguvu katika Wanawake Live na kupelekea mamilioni ya watazamaji kufaidika na kujifunza kupitia kipindi chake.
Sasa staring wa Wanawake Live ‘Joyce Kiria’ anakuja na msimu mpya (New season) ambao utahusisha matukio mbalimbali yaliyojili katika jamii yetu.
0 Maoni/comments: