Sunday, August 18, 2013

0

MISS UTALII ALIYEPIGA PICHA ZA UCHI NA MANAIKI APIGWA VIBAYA MNO: SOMA HABARI KAMILI

Posted in
Zile picha za aibu zilizoongoza  kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na mabint mbalimbali wakiwa kwenye picha utupu sasa  zimechukuwa sura mpya baada mrembo aliyekuwa mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani kupigwa nusu ya kupoteza uhai wake na mchumbaake kwa madai ya kumdhalilisha.
  
Habari za uhakika toka kwa rafiki wa karibu na mrembo huyo ambae amevujisha picha hizi za kupigwa kwa Fathiya amedai kuwa  mrembo  wa  facebook  yuko  taabani  baada  ya  kupewa  kichapo  cha  mbwa  mwitu...

Moja ya picha aliyopiga na Manaiki

“ Jamani tumuone huruma Mrembo wa Facebook kwani hali yake   ni  mbaya  sana...Yaani  amepigwa sana nusura  atolewa nafsi na mchumbaake anaeishi nae huko Buza” Kilisema chanzo hicho...

Katika tukio hilo ,  mtuhumiwa namba moja na Manaiki Sanga aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa  na  Love Position...

Inadaiwa Manaiki kwa sasa anaishi kama digidigi kwa kuhofia kutiwa mikononi na Jamhuri kwa tukio alilolifanya la kuwadhalilisha wanawake...

PICHA ZOTE HIZI HAPA: http://arnoldbalati.blogspot.com/2013/08/huyu-ndo-msanii-wa-muziki-aliyeanika.html#.UhGmRNLvuZc

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ