Friday, August 16, 2013

0

LIGI KUU UINGEREZA ITAKUA YA KWANZA KUTUMIA GOAL LINE TECHNOLOGY

Posted in , ,
Ligi ya Uingereza (Barclays Premier League) imekuwa ligi ya kwanza kutumia goal line technology.


Tekinologia hiyo inadaiwa kutumia camera 7 kuangalia jinsi goal linavyoingia. Using seven cameras per goal to detect the ball, it claims to be “millimetre accurate”.

Imegharimu kila timu kwenye ligi hiyo kiasi cha £250,000 kuweka mitambo hiyo kwenye viwanja vyao.

Endapo goal litaingia, mtambo huo utatuma signal kwa referee ndani yani ya sekunde mbili.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ