Sunday, July 21, 2013

0

SIJABAKWA, NI MANENO TU - LINAH SANGA

Posted in
LINAHGPL
Kuna habari ambazo zinaenea kuhusu msanii kutoka Tanzania House of Talent, Estelinah Sanga maarufu kama Linah kwamba akiwa kwenye starehe usiku alilewa na kubakwa. Millardayo.com imeongea na Linah mwenyewe na alikuwa na maneno machache ya kusema kama hivi, “Sio kweli kabisa ni maneno tu hayo, kuthibitisha hilo ni kwamba siku ya tatu leo sijatoka usiku na hayo maneo yanasemwa kwamba nililewa usiku”
linah

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ