Sunday, July 21, 2013

0

JAY Z NA BEYONCE NAO WAANDAMANA KWA TRAYVON MARTIN

Posted in , ,
Screen-Shot-2013-07-20-at-1.14.39-PM
Kesi ya Trayvon Martin ndiyo ina make headlines huko Marekani hivi sasa hasa baada ya mahakama kutoa maamuzi ambayo hayakuwaridhisha watu wengi hadi kufikia maadamano mengi kufanyika huko Marekani. Jay Z na Beyonce nao waliungana na watu wengine akiwemo mwanaharakati maarufu huko Marekani Al Sharpton. Al Sharpton aliwaambia watu kwamba Jay na Bey hawakuja pale kwasababu wanamchukia mtu, but wamekuja kutoa support hasa kwa familia ya Trayvon Martin kwasababu na wao ni wazazi wanafahamu jinsi wazazi hao wanavyojiskia kwa kumpoteza mtoto wao na zaidi jinsi maamuzi ya mahakama yalivyotolewa
Screen-Shot-2013-07-20-at-1.14.22-PM

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ