PATA KUIJUA ZAIDI FILAMU YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU. KANUMBA | SOMA HAPA
Posted in After Death, Steven Kanumba
Siku ya Kanumba day pale Leaders Club ilizinduliwa movie ya “After Death” kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba ambapo ndani yake kuna Jackline Wolper, Jennifer na Patrick watoto walioibuliwa na Kanumba kwenye movie na wasanii wengine wengi. Wiki hii ndio imetoka na inapatikana kwenye maduka mbalimbali, unaweza kuitumia hii nafasi kutazama hii trailer ili upate nguvu zaidi ya kwenda kuinunua…
0 Maoni/comments: