JAY Z AOMBA JINA LAKE LIANDIKWE BILA KUTUMIA HYPHEN (-)
Posted in Jay Z, Jay-ZJay-Z anataka jina lake liandikwe ‘Jay Z’ bila ‘hyphen’ (-)
Jay-Z anataka hiyo hyphen itoke kwenye jina lake. Baada ya kutumia jina hilo kwa takriban miongo miwili, rapper huyo amesema kuwa Jay na Z zisimame zenyewe bila kutengenishwa.
Jay Z. Hivyo ndivyo jina lake Jay-Z limeandikwa kwenye albam Magna Carta Holy Grail.
Mhariri wa Billboard, Joe Levy, alitweet: “Breaking: Jay Z has dropped the hyphen from his name, according to his label,I am not kidding. (Wish I was.)”
Hata hivyo imekuja kubainika kuwa Jay-Z amekuwa akitumia Jay Z kwa muda sasa na hata kwenye maelezo ya albam zake zilizopita The Blueprint 3 na Watch The Throne 2011 akiwa na Kanye West.
0 Maoni/comments: