

Polisi wakifanya Uchunguzi
Makamanda wa chadema waombwa kwenda kuchangia damu katika hospitali ya seliani. Watu zaidi ya wawili wamefariki kwenye
bomu lililolipuliwa saa kumi na mbili jioni ambapo majeruhi ni zaidi ya 10, pia gari la wagonjwa
la Hospitali ya Mount Meru STK
8493 limevunjwa vioo kwa madai
ya wananchi kwamba
limeshindwa kuokoa maisha ya
majeruhi, inaripotiwa pia bomu
lililolipuliwa sio la polisi.
- Bomu lililolipuka linadaiwa kuejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
 |
0 Maoni/comments: