Jun
2013
18
BREAKING NEWS: SAIDA KAROLI AFARIKI DUNIA
Posted in Saida Karoli
Mwanamuziki Saida Karoli amefariki baada ya kuzama kwenye maji kufuatia
boti aliyokuwa akisafiri nayo toka Kisiwa cha Goziba kuzama baada ya
kukumbwa na dhoruba na kuzama Ziwa Victoria.
Inaalifiwa pamoja naye kuna watu wengine wamefariki dunia.
0 Maoni/comments: