Thursday, May 2, 2013

0

DIAMOND KUFANYA SHOW YAKE YA PILI BARANI ULAYA IJUMAA HII

Posted in ,
 
Hello my dear Fans wa UK.....Baada ya kufanya uharibifu
mkubwa pale jijini london sasa
wakazi wa Luton.....Naongelea Ballerz & Divaz
wakali wote Tujisogeze hapa tena.....
Ts Gona be craiiziee ryt Here nikiwa na silaha zanu mbili
hatari.....Kushoto Dumi Utamu vanilla
pembeni Mose Iyobo.....Basi patakuwa hapatoshi pale
kati.....Maana ntaakikisha Namaliza Mawazo
yangu yote pale pale kisha......Nilewe na watu
wangu wa Nguvu Sana......Kisha
Hiyo Siku ntamchagua Diva Mmoja wa Nguvu
kumpeleka kwa Mama Naseeb....!!
Itakuwa Pale sehemu yenye mandhari mazuri na yenye
utulivu 93 Tomlinson Avenue,Luton L4 OQL
Kwa Entrance ya £20 getini na £15 kabla....ticket ni
chache...!! Nyama Choma na vyakula
vingine vitapatikana vyote......! Tukutane pale Tujue
Nani atalewa kati yangu na Nyie mtakaofika
na Ladies N Gents Tuje tuone nani atapelekwa
kwa Mama Diamond.....!!
Usikoseeeee....!!!

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ