Thursday, April 11, 2013

0

[VIDEO] Babu Tale Akizungumzia Ugomvi Wake Na Dogo Janja ...


Ni katika kipindi cha Sporah Show ambapo safari hii mgeni aliyekuwa akihojiwa ni meneja wa kundi la TipTop Conection akijulikana kama Babu Tale.
Babu Tale alishawahi kuwa manager wa msanii Janjaro, formerly known as Dogo Janja chini ya uongozi wa TIP TOP yenye maskani yake Manzese, Dar Es Salaam ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ