MICHAEL JORDAN, THE NBA LEGEND AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WA MDA MREFU
Posted in Michael Jordan, NBA, Yvette PrietoMkongwe wa mpira wa kikapu nchini Marekani, MICHAEL JORDAN ... amefunga ndoa weekend hii iliyoisha ... Michael amefunga ndoa hiyo huko WEST PALM BEACH Marekani na mwanadada Yvette Prieto katika sherehe iliyohuzuriwa na watu maarufu sana ...
Michael Jordan Na Mkewe Yvette Prieto ... Walikuwa wachumba wa muda mrefu ...
Hili ndio Kanisa ambalo ndoa ilifungwa ...
TIGER WOODS Na AHMAD RASHAD ...
DELORIS PEOPLES, Mama wa Michael Jordan ...
SCOTTIE PIPPEN, aliwahi kucheza CHICAGO BULLS na Michael Jordan, hapa akiwa na Mkewe ...
Patrick Ewing, NY Knicks ...
0 Maoni/comments: