ALICHOKIANDIKA ROMA KUHUSU KUTOKUSHIRIKISHWA KATIKA TUZO ZA KILI 2013
Posted in KILI MUSIC AWARDS, Roma Mkatoliki
Rapper Roma Mkatoliki ni
mshindi wa tuzo za KTMA 2012 lakini mwaka huu 2013 hajapata nafasi
yoyote ya kuwa nominated kwenye list, ni miongoni mwa mastaa wa hiphop
ambao hawako kwenye list kabisa mwaka huu ambapo moja ya vigezo vya
msanii kushiriki kwenye tuzo za ni lazima wimbo wake uwe umefanya vizuri
kwa mwaka uliopita.
0 Maoni/comments: