Shaa - Lava Lava ( Official Video HD) & AUDIO FREE DOWNLOAD
Ni brand new audio and video kutoka kwa mwanamuziki Shaa inayokwenda kwa jina la Lava Lava...
Few weeks ago, uliona jinsi video hii ilivyokuwa ikitengenezwa [Behind The Scene] but now its ready and its here...
The Video imetengenezwa na kampuni inayojishughulisha na utengenezaji wa videos [Music] VISUAL LAB: Next Level with in his Director Adam Juma.
0 Maoni/comments: