NEW TRACK: SHETTA FT RICH MAVOKO (also behind the scene ya video)
Posted in Rich Mavoko, Shetta
Ni brand new track kutoka kwa Shetta "The Don", this time analalamika na SINA IMANI...
Shetta ambae anafanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya hapa [Bongo] Tanzania na nje kwa ujumla, ambapo hadi sasa anatamba na baadhi ya ngoma zake ikiwemo Mdananda, Nidanganye ft. Diamond na Bonge La Bwana akiwa na Linah... has just dropped an HIT.... Sina Imani, "Nakupenda sana ila usilete Ukimwi nyumbani... Aahh usileteee "
This time Shetta amerudi tena na ''Sina Imani'' ikiwa kwenye mikono ya Mesen Selector... featuring Rich Mavoko... Kiukweli ni kuwa it gets amazing pale watu ambao they are in the music industry halafu hawakuwahi kufanya kazi pamoja na kutoa ngoma nzuri hii.... ukichukulia kuwa wote wanafanya vizuri kimpango wao...
Shetta akimshirikisha Mavoko ni wawili ambao hawakuwahi kurekodi pamoja and so to mesen....
SINA IMANI !!! Msikize Shetta na wakilalamika hapa chini: You can also download!!
0 Maoni/comments: