Wednesday, February 6, 2013

0

AVRIL KUACHIA VIDEO YA NYIMBO YAKE ''HAKUNA YALE''

Posted in
Msanii kutoka Nairobi, Kenya maarufu kama Avril ambae wiki chache zilizopita aliachia track yake mpya ambayo hakujua jina la kuupa wimbo huo anatarajia kutoa video yake hivi karibuni.
Track hiyo ambayo aliomba mashabiki wake kumsaidia kumpatia title kupitia akaunti zake za mitandao ya jamii, yaani Twitter na Facebook na kupatikana jina HAKUNA YALE video yake ipo tayari na kwamba inaweza kutoka siku za karibuni.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ