KUHUSU FUJO ZILIZOTOKEA KWENYE SHOW YA DIAMOND
Posted in Diamond Platnumz, Wasafi
onyesho la msanii kama Diamond.Kwani kama una chuki na Diamond mfate
mtaani na sio kwenye show yake kwani unaweza kuleta matatizo kwa
mashabiki wasio na hatia. Pia Chid Benz alimtuliza Diamond na kumuomba
apande kwenye stage kumaliza show na kuburudisha fans waliolipa na kuja
kumuona mtu wao. | Watu Wakiingia Maisha Jana |
Chid Benz aliongea na watu na kusema sio kitu kizuri kufanya fujo kwenye
Vitu vya thamani kama Cheni,Pete na Camera ya Bestizo ya ThisisDiamond iliporwa kwenye fujo hizo. Inasemekana Diamond na Uongozi wa maisha ulipata taarifa kuhusu uwezekano wa fujo hizi kutokea na hatua zilifanyika kuweka usalama zaidi ila vijana hawa walikuwa wengi na ndio sababu ya show ya Diamond Kuharibika. Skiliza Interview Yote Power Jams Ya EastAfricaRadio Leo Saa Saba Mchana.


0 Maoni/comments: