Monday, December 17, 2012

0

ROBERTO DI MATEO ACHAGULIWA KUWA KOCHA BORA

Posted in , ,
 
Baada ya kufukuzwa kuwa kocha wa chelsea, Roberto Di Mateo (RDM) achaguliwa kuwa kocha bora na kutuzwa huko nchini switzerland. Ni kitu cha kufurahisha kwa mashabiki wa chelsea ambao bado wanamuhitaji kwani jambo hili ni la kumfanya kibopa Roma Abramovich kuona alifanya suala la ajabu kumfukuza kazini kocha huyu.

Mafanikio ya RDM 2012 akiwa chelsea
  • Bingwa UEFA CL
  • Bingwa FA
  • Mshindi wa 5 Barclays

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ