Monday, December 17, 2012

0

CHRIS BROWN AFANYA SHOW YA MAANA HUKO SOUTH AFRICA

Posted in

     Akiwa ndo kama ameanza, Chris Brown wikiendi hii alikuwa South Africa ambapo ali-perform show yake ya Coca Cola Dome - Sony Music Entertainment - Africa huko Johannesburg. Chris ambae sasa yupo kwenye ziara yake inayofahamika kama Carpe Diem Tour, alifanya performance nzuri na kuwarusha fans wake hata baada ya mvua kuanza kunyesha.
Check Picha zaidi hapa chini:



    
Source: GongaMx

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ