TATTOO ZA RAYUU ZA SAFARI HII NI BALAA, ACHORA HADI KWENYE MAKALIO
Posted in Rayuu
Alidai kuwa hata hivyo kati ya michoro hiyo aliouweka kiunoni unasomeka jina lake la ‘Rayuu’ na mengine ni ya aina mbalimbali, “tattoo nazipenda sana lakini kati ya zote hii ya kiunoni naipenda kuliko zote ingawa aliyenichora aliikosea kidogo,” alisema.
Msanii huyo amecheza filamu kama ‘The Image’, ‘Trinita Show’, ‘Sound of Death’, ‘One House’, ‘Katikati ya
Sherehe’ pamoja wasanii kibao maarufu, pia bado anaendelea kufanya vizuri kupitia tamthilia ya ‘Red Apple’ na ‘Millosis’.
0 Maoni/comments: