Wednesday, October 3, 2012

0

MSANII TOKA KENYA ''KAZ'' APIGA PICHA ZA UTUPU KWA AJILI YA KAMPENI YA KANSA YA YA MATITI

Posted in
Miaka kadhaa iliyopita msanii wa kike wa Kenya, Kaz, alitikisa vichwa vya habari vya magazeti ya udaku na mitandao baada ya picha zake za utupu kuleak. Hiyo haikumpa woga msanii huyo hivi karibuni kukubali kupigwa picha akiwa bila nguoni kifuani katika kampeni ya kusisitiza wanawake kwenda kupima kansa ya matiti.
Picha hiyo inatumika mwezi huu wa October  kwakuwa ni mwezi wa uelewa wa ugonjwa huyo ambapo mabalozi na madaktari wamekuwa wakishiriki kukuza uelewa huo na Kazi amejitolea kupiga picha hiyo.
Katika hatua nyingine msanii huyo mrembo atashiriki kuigiza tamthilia ya TV inayohusiana na ukatili wa wanawake.
Ili kukamilisha kazi hiyo Kaz anatafuta wasichana 15 ambao wamewahi kujikiuta kwenye ukatili wa aina yeyote kwa kutoa maelezo yasemayo:
- Women who have been surrounded by violence in any way or of any kind. From the household to the work place. It may have happened to someone you know and affected either you personally or a whole community. It may have happened to a sibling or a parent or a friend.
- I'm looking for women who can discuss sexual abuse, whether it happened to them or someone close to them.
- Women who have been personally affected by the post election violence. Anyone who lost someone during that time.
- Women who can talk about sexual and physical abuse during the post election violence.
- University students who get affected by the constant student riots and have either physically or sexually been abused at this time.
Wasichana hao watakaopatikana kwenye usaili huo watashoot series hiyo tarehe 22 na 23 October.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ