Sep
2012
01
USAJILI WOTE KWA KLABU LIGI KUU UINGEREZA
Posted in Barclays Premier League
Jana Agosti 31, ilikuwa ni Siku ya
mwisho ya Uhamisho kwa Wachezaji kwa kipindi hiki na miongoni mwa
Uhamisho wa Dakika za mwishoni ni pamoja na Clint Dempsey na Hugo Lloris
kuhamia Tottenham huku Klabu hiyo ikishindwa kumnasa Kiungo wa FC Porto
Joao Moutinho.
Kiungo wa Chelsea kutoka Ghana, Michael
Essien, ambae alikuwa majeruhi kwa muda mrefu, yeye amehamishwa kwa
mkopo kwa Mabingwa wa Spain Real Madrid.
''>>DAKIKA za MWISHO: Essien aenda Real, Kipa Lloris na Dempsey watua Spurs!!
Spurs imemsaini Clint Dempsey kutoka Fulham kwa Pauni Milioni 6 na Kipa Hugo Lloris kutoka Lyon kwa Milioni 11.8.
Nao Mabingwa wa England, Manchester City, walifanikiwa kumnunua Javi Garcia kutoka Benfica kwa Pauni Milioni 16.
Nayo Hamburg imethibitisha kumnasa Mchezaji wa Tottenham Rafael van der Vaart kwa Dau la Pauni Milioni 10.
Mapema hiyo jana, Straika wa Manchester
United, Dimitar Berbatov, alikamilisha Uhamisho wake kwenda Fulham na
kusaini Mkataba wa Miaka miwili kwa Dau ambalo halikutajwa rasmi.
Stoke City wao wamenasa Wachezaji watatu kwa mpigo, wote Viungo, ambao ni Steven Nzonzi, Charlie Adam na Maurice Edu.
Nzonzi amenunuliwa kutoka Blackburn kwa
Ada ya Pauni Milioni 3.5 na kusaini Mkataba wa Miaka minne, Charlie Adam
ametoka Liverpool kwa Pauni Milioni 4 na Maurice Edu, ambae ni Mchezaji
wa USA, ametokea Rangers.
>>SPURS washindwa kwa Moutinho!!''
LISTI>>Klabu kwa Klabu:
ARSENAL
NDANI
Santi Cazorla (Malaga, £16.5m), Olivier Giroud (Montpellier, £13m), Lukas Podoloski (Cologne, £11m)
NJE
Alex Song (Barcelona, £15m), Robin van
Persie (Manchester United, £24m), Gavin Hoyte (Dagenham, Bure), Manuel
Almunia (Watford, Bure), Joel Campbell (Real Betis, Mkopo), Denilson
(Sao Paulo, Mkopo), Ryo Miyaichi (Wigan, Mkopo), Kyle Bartley (Swansea,
£1m), Henri Lansbury (Nottingham Forest, £1m), Park Chu-young (Celta
Vigo, Mkopo), Nicklas Bendtner (Juventus, Mkopo)
ASTON VILLA
NDANI
Matthew Lowton (Sheffield United, £3m),
Ron Vlaar (Feyenoord), Karim El Ahmadi (Feyenoord) Brett Holman (AZ
Alkmaar, Bure), Jordan Bowery (Chesterfield), Joe Bennett
(Middlesbrough, £2.5m), Ashley Westwood (Crewe), Christian Benteke
(Genk, £7m)
NJE
James Collins (West Ham), Carlos Cuellar (Sunderland, Bure), Emile Heskey (Ameachwa), Nathan Delfouneso (Blackpool, Mkopo)
CHELSEA
NDANI
Eden Hazard (Lille, £32m), Oscar
(Internacional, £25m), Marko Marin (Werder Bremen, £7m), Thorgan Hazard
(Lens, free), Victor Moses (Wigan, £9m), Cesar Azpilicueta (Marseille,
£7m)
NJE
Didier Drogba (Shanghai Shenhua, Bure),
Jacob Mellis (Barnsley, Bure), Salomon Kalou (Lille, Bure), Jose
Bosingwa (QPR, Bure), Thibaut Courtois (Atletico Madrid, Mkopo), Romelu
Lukaku (West Bromwich Albion, Mkopo), Kevin De Bruyne (Werder Bremen,
Mkopo), Sam Hutchinson (Nottingham Forest, Mkopo), Josh McEachran
(Middlesbrough, Mkopo), Nathaniel Chalobah (Watford, Mkopo), Thorgan
Hazard (Zulte-Waregem, Mkopo), Yossi Benayoun (West Ham, Mkopo), Michael
Essien (Real Madrid, Mkopo)
EVERTON
NDANI
Steven Pienaar (Tottenham, £4.5m),
Steven Naismith (Rangers, Bure), Kevin Mirallas (Olympiakos, £5.2m),
Bryan Oviedo (FC Copenhagen), Matthew Kennedy (Kilmarnock), Vadis
Odjidja-Ofoe (Club Brugge, Mkopo)
NJE
Jack Rodwell (Everton, £12m), Tim Cahill
(New York Red Bulls, £1m), Adam Forshaw (Brentford), James Wallace
(Tranmere), Joao Silva (Levski Sofia), Joseph Yobo (Fenerbahce), James
McFadden (Ameachwa), Marcus Hahnemann (Ameachwa)
FULHAM
NDANI
Hugo Rodallega (Wigan, Bure), Mladen
Petric (Hamburg, Bure), George Williams (MK Dons, Bure), Sascha Riether
(Cologne, Mkopo), Kieran Richardson (Sunderland), Dimitar Berbatov
(Manchester United, £5m), Ashkan Dejagah (Wolsfburg)
NJE
Mousa Dembele (Tottenham, £15m), Dickson
Etuhu (Blackburn), Marcel Gecov (AA Gent), Andrew Johnson (QPR, Bure),
Danny Murphy (Blackburn, Bure), Pavel Pogrebnyak (Reading, Bure), Bjorn
Helge Riise (Ameachwa), Orlando Sa (Ameachwa), Clint Dempsey (Tottenham,
£6m)
LIVERPOOL
NDANI
Nuri Sahin (Real Madrid, Mkopo), Joe
Allen (Swansea, £15m), Fabio Borini (Roma, £10m) Oussama Assaidi
(Heerenveen, £3m), Samed Yesil (Bayern Leverkusen £1m)
NJE
Dirk Kuyt (Fenerbache, £1m), Craig
Bellamy (Cardiff), Alberto Aquilani (Fiorentina), Maxi Rodriguez
(Newell's Old Boys) Fabio Aurelio (Gremio, Bure), David Amoo (Preston
North End, Bure), Stephen Darby (Bradford, Bure), Andy Carroll (West
Ham, Mkopo), Jay Spearing (Bolton, Mkopo), Charlie Adam (Stoke, £4m),
Nathan Eccleston (Blackpool, Mkopo)
MANCHESTER CITY
NDANI
Jack Rodwell (Everton, £12m), Scott
Sinclair (Swansea, £8m), Maicon (Inter Milan), Richard Wright (Preston
North End, Bure), Matija Nastasic (Fiorentina), Javi Garcia (Benfica,
£16m)
NJE
Emmanuel Adebayor (Tottenham, £5m),
Vladimir Weiss (Pescara), Greg Cunningham (Bristol City, Bure), Owen
Hargreaves (Ameachwa), Gunnar Nielsen (Ameachwa), Stuart Taylor
(Reading, Bure), Wayne Bridge (Brighton, Mkopo), Adam Johnson
(Manchester City £10m), Nigel de Jong (AC Milan), Roque Santa Cruz
(Malaga, Mkopo), Dedryck Boyata (FC Twente, Mkopo), Stefan Savic
(Fiorentina)
MANCHESTER UNITED
NDANI
Angelo Henriquez (Universidad de Chile),
Robin van Persie (Arsenal, £24m), Shinji Kagawa (Dortmund, £17m), Nick
Powell (Crewe, £4m), Alexander Buttner (Vitesse Arnhem, £4m)
NJE
Park Ji-sung (QPR), Richie De Laet
(Leicester), Matty James (Leicester) Paul Pogba (Juventus, Bure), Tomasz
Kuszczak (Brighton, Bure), Michael Owen (Ameachwa), Fabio (QPR, Mkopo),
Ben Amos (Hull, Mkopo), Dimitar Berbatov (Fulham, £5m)
NEWCASTLE
NDANI
Vurnon Anita (Ajax, £6.7m), Curtis Good (Melbourne Heart, £400,000), Gael Bigirimana (Coventry), Romain Amalfitano (Reims, Bure)
NJE
Leon Best (Blackburn, £3m), Fraser
Forster (Celtic, £2m), Danny Guthrie (Reading, Bure), Peter Lovenkrands
(Birmingham, Bure), Alan Smith (MK Dons, Bure), Ryan Donaldson
(Ameachwa), Tamas Kadar (Roda JC, Bure)
NORWICH
NDANI
Sebastian Bassong (Tottenham), Robert
Snodgrass (Leeds, £3m), Michael Turner (Sunderland), Jacob Butterfield
(Barnsley), Steven Whittaker (Rangers, Bure), Javier Garrido (Lazio,
Mkopo), Alexander Tettey (Rennes), Mark Bunn (Blackburn)
NJE
Andrew Crofts (Brighton, undisclosed),
Adam Drury (Leeds, free), Aaron Wilbraham (Crystal Palace, free), Zak
Whitbread (Leicester, free), Josh Dawkin (released), Daniel Ayala
(Nottingham Forest, loan), James Vaughan (Huddersfield, loan)
QUEENS PARK RANGERS
NDANI
Junior Hoilett (Blackburn), Park Ji-sung
(Manchester United), Samba Diakite (Nancy), Robert Green (West Ham,
Bure), Ryan Nelsen (Tottenham, Bure), Andrew Johnson (Fulham, Bure),
Fabio (Manchester United, Mkopo), Jose Bosingwa (Chelsea, Bure) Esteban
Granero (Real Madrid, £9m), Sam Magri (Portsmouth, Bure), Stephane Mbia
(Marseille)
NJE
Tommy Smith (Cardiff, £300,000), Paddy
Kenny (Leeds, £400,000), Heidar Helguson (Cardiff), Rowan Vine (St
Johnstone, Bure), Peter Ramage (Crystal Palace, Bure), Danny Gabbidon
(Ameachwa), Danny Shittu (Ameachwa), Fitz Hall (Ameachwa), Gary
Borrowdale (Ameachwa), Lee Cook (Ameachwa), Patrick Agyemang (Ameachwa),
Akos Buzsaky (Ameachwa), Joey Barton (Marseille, Mkopo)
READING
NDANI
Chris Gunter (Nottingham Forest, £2.5m),
Adrian Mariappa (Watford, £2.5m), Pierce Sweeney (Bray Wanderers),
Pavel Pogrebnyak (Fulham, Bure), Danny Guthrie (Newcastle, Bure), Garath
McCleary (Nottingham Forest, Bure), Nicky Shorey (West Brom, Bure),
Stuart Taylor (Manchester City, Bure)
NJE
Michail Antonio (Sheffield Wednesday),
Tomasz Cywka (Barnsley, Bure), Brian Howard (Ameachwa), Andy Griffin
(Ameachwa), Jack Mills (Ameachwa), Joseph Mills (Burnley, Mkopo)
SOUTHAMPTON
NDANI
Emmanuel Mayuka (Young Boys Berne), Jay
Rodriguez (Burnley, £6m), Paulo Gazzaniga (Gillingham), Steven Davis
(Rangers, Bure), Nathaniel Clyne (Crystal Palace), Maya Yoshida
(VVV-Venlo), Gaston Ramirez (Bologna)
NJE
Dan Harding (Nottingham Forest), Bartosz
Bialkowski (Notts County, Bure), Lee Holmes (Preston North End, Bure),
Ryan Doble (Shrewsbury, Bure), David Connolly (Ameachwa), Radhi Jaidi
(Amestaafu), Aaron Martin (Crystal Palace, Mkopo), Tommy Forecast
Gillingham, Mkopo), Billy Sharp (Nottingham Forest, Mkopo)
STOKE
NDANI
Michael Kightly (Wolves, £2m), Geoff
Cameron (Houston Dynamo), Jamie Ness (Rangers, Bure), Charlie Adam
(Liverpool, £4m), Maurice Edu (Rangers), Steven Nzonzi (Blackburn,
£3.5m)
NJE
Danny Collins (Nottingham Forest),
Jonathan Woodgate (Middlesbrough, Bure), Andrew Davies (Bradford, Bure),
Salif Diao (Ameachwa), Ricardo Fuller (Ameachwa), Louis Moult
(Ameachwa), Tom Soares (Ameachwa)
SUNDERLAND
NDANI
Louis Saha (Tottenham, Bure), Carlos
Cuellar (Aston Villa, Bure), Steven Fletcher (Wolves, £15m), Adam
Johnson (Manchester City £10m), Danny Rose (Tottenham, Mkopo)
NJE
Marcos Angeleri (Estudiantes), Asamoah
Gyan (Al-Ain, £6m), Michael Turner (Norwich),George McCartney (West
Ham), Michael Liddle (Accrington), Jordan Cook (Charlton, Bure), Craig
Gordon (Ameachwa), Ahmed Elmohamady (Hull, Mkopo), Kieran Richardson
(Fulham)
SWANSEA
NDANI
Michu (Rayo Vallecano, £2m), Jose Manuel
Flores (Genoa, £2m), Jonathan de Guzman (Villarreal, Mkopo), Kyle
Bartley (Arsenal, £1m), Jamie Proctor (Preston), Pablo Hernandez
(Valencia, £5.55m)
NJE
Joe Allen (Liverpool, £15m), Ferrie
Bodde (Ameachwa), Casey Thomas (Ameachwa), Joe Walsh (Ameachwa), Scott
Donnelly (Ameachwa), Andrea Orlandi (Brighton, Bure)
TOTTENHAM
NDANI
Mousa Dembele (Fulham, £15m), Emmanuel
Adebayor (Manchester City, £5m), Jan Vertonghen (Ajax, £10m), Gylfi
Sigurdsson (Hoffenheim, £8m), Hugo Lloris (Lyon, £13m), Clint Dempsey
(Fulham, £6m)
NJE
Sebastian Bassong (Norwich), Vedran
Corluka (Lokomotiv Moscow, £5m), Steven Pienaar (Everton, £4.5m), Niko
Kranjcar (Dynamo Kiev, £2m), Ryan Nelsen (QPR, Bure), Ben Alnwick
(Barnsley, Bure), Luka Modric (Real Madrid, £33m), Louis Saha
(Sunderland, Bure), Bongani Khumalo (PAOK, Mkopo), Massimo Luongo
(Ipswich, Mkopo), Ryan Fredericks (Brentford, Mkopo), Danny Rose
(Sunderland, Mkopo), Giovani dos Santos (Real Mallorca), Rafael van der
Vaart (Hamburg, £10.2m)
WEST BROMWICH
NDANI
Ben Foster (Birmingham,
undisclosed), Markus Rosenberg (Werder Bremen, free), Claudio Yacob
(Racing Club de Avellaneda, free) Romelu Lukaku (Chelsea, loan), Yassine
El Ghanassy (AA Gent, loan), Goran Popov (West Brom, loan)
NJE
Keith Andrews
(Bolton, Bure), Joe Mattock (Sheffield Wednesday, Bure), Nicky Shorey
(Reading, Bure), Marton Fulop (Astera Tripolis, Bure), Somen Tchoyi
(Ameachwa), Paul Scharner (Ameachwa), Simon Cox (Nottingham Forest)
WEST HAM
NDANI
Matt Jarvis (Wolves, £10.75m), Modibo
Maiga (Sochaux, £5m), Alou Diarra (Marseille, £2m), James Collins (Aston
Villa), Stephen Henderson (Portsmouth), George McCartney (Sunderland),
Raphael Spiegel (Grasshoppers) Jussi Jaaskelainen (Bolton, Bure),
Mohamed Diame (Wigan, Bure), Andy Carroll (Liverpool, Mkopo), Yossi
Benayoun (Chelsea, Mkopo)
NJE
Robert Green (QPR, Bure), Julien Faubert
(Elazigspor, Bure), Frank Nouble (Wolves, Bure), Freddie Sears
(Colchester, Bure), Abdoulaye Faye (Hull, Bure), John Carew (Ameachwa),
Papa Bouba Diop (Ameachwa), Ravel Morrison (Birmingham, Mkopo), Sam
Baldock (Bristol City), Nicky Maynard (Cardiff)
WIGAN
NDANI
Arouna Kone (Levante), Ryo Miyaichi (Arsenal, Mkopo), Ivan Ramis (Real Mallorca), Fraser Fyvie (Aberdeen)
NJE
Chris Kirkland (Sheffield Wednesday,
Byre), Mohamed Diame (West Ham, Bure), Hugo Rodallega (Fulham, Bure),
Hendry Thomas (Ameachwa), Steve Gohouri (Ameachwa), Jordan Robinson
(Ameachwa), Victor Moses (Chelsea, £9m)
0 Maoni/comments: