Monday, September 3, 2012

0

Nimepoteza Heshima Yangu Kwa Alex Ferguson: Dimitar Berbatov

Posted in ,
http://images.supersport.com/Dimitar-Berbatov-120901-Attacks-R-300.jpg FERGIE_N_BERBA
Aliekuwa Straika wa Manchester Unted Dimitar Berbatov ambae Ijumaa iliyopita aliuzwa kwa Klabu ya Fulham ametoa dukuduku lake na kulalamika jinsi alivyotendewa na Meneja wa Manchester United hadi kulazimika kuhama.
Berbatov, alienunuliwa na Man United Mwaka 2008 kutoka Tottenham, alikosa namba Msimu uliopita na amedai kuwa alimfuata Ferguson karibu mara 15 akitaka kujua hatima yake lakini kila mara alihakikishiwa umuhimu wake.
Berbatov amesema alipoondoka Old Trafford hakuagana na Ferguson kwa vile alipoteza heshima yake kwake.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ