Friday, July 27, 2012

0

Washiriki Wanawake Toka Saudi Arabia Kuvaa Hijabu

Posted in
Baada ya Saudi Arabia kupitisha sheria ya ''kuwaruhusu wanawake kushiriki michezo kimataifa,ila kwa sharti moja tu la wavalie nguo za kustiri na heshima''
Kamati ya Olympic ina mpango wa muzuia na kumrudisha nyumbani Wodjan Shahrikhani baada ya kulazimisha kushiriki Judo akiwa amevalia ''Hijabu'' na wwanawasiwasi mwenzake ambaye atashiriki riadha anaweza akashikilia uamuzi wake wa kukimbia na Hijabu..

Olympics wamesema ni either uvue Hijabu ukiwa mashindanoni au usepe kwenu

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ