Friday, July 27, 2012

0

Kinachoendelea Jijini London na Yanayoshangaza: Olympics

Posted in
Sasa ngoja niwape kinachoendelea..inshort hapatoshi,mji umekuwa mdogo ghafla!

Ngoja nikupe my top 10 kwa sasa!

1.Kwa mara ya kwanza traffic imekuwa kubwa London,pamoja na juhudi zao zote za kutenga barabara mpya special for Olympic lakini hapatoshi
2.Usafiri wa boat nao umeisha,ticket zimekatwa zote,so wale waliokimbia barabara nawapa pole
3.Helicopter na private yatch ndo zimeanza kufanya shughuli sasa(kama una pesa twende)
4.Michelle Obama anaongoza team ya Olympic ya Marekani
5.Malkia kufungua Olympics leo
6.Bookings za Htel zote kubwa zimekwisha tangu jana
7.Free parks nazo watu wameanza kusimamiwa,wakizidi sana huruhusiwi kuingia
8.London Olympics 2012 ni kubwa mara 3 zaidi ya World Cup moja
9.£27m gharama zitakazotumika kwenye ufunguzi
10.Ni rahisi Osama kupita Heathrow Airport kuliko kupita gates za Olympic Stadium(security)
 

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ